Ufafanuzi wa aibika katika Kiswahili

aibika

kitenzi sielekezi

  • 1

    pata aibu.

    fedheheka

Asili

Kar

Matamshi

aibika

/ajibika/