Ufafanuzi wa aidini katika Kiswahili

aidini

nominoPlural aidini

Tiba
  • 1

    Tiba
    dawa ya majimaji inayotumiwa kuwa dawa ya vidonda.

Asili

Kng

Matamshi

aidini

/ajidini/