Ufafanuzi wa aini katika Kiswahili

aini

kitenzi elekezi

  • 1

    dhihirisha namna kitu kilivyo; taja aina ya kitu.

Asili

Kar

Matamshi

aini

/ajini/