Ufafanuzi wa ajali katika Kiswahili

ajali

nomino

  • 1

    tukio lenye madhara linalotokea ghafla.

  • 2

    mauti, msiba, maafa

Asili

Kar