Ufafanuzi wa akademia katika Kiswahili

akademia

nominoPlural akademia

  • 1

    shule au chuo kinachotoa elimu au utaalamu maalumu.

Asili

Kng

Matamshi

akademia

/akadɛmija/