Ufafanuzi wa akari katika Kiswahili

akari

nominoPlural akari

  • 1

    kinywaji kinacholevya mara tu kinaponywewa na mtu.

    ulevi, kileo

Asili

Kar

Matamshi

akari

/akari/