Ufafanuzi wa alakulihali katika Kiswahili

alakulihali

kielezi

  • 1

    (ms) kwa hali yoyote ile.

  • 2

    viwavyo vyovyote; kwa vyovyote vile.

    ‘Alakulihali fanya uje’

Asili

Kar

Matamshi

alakulihali

/alakulihali/