Ufafanuzi wa alasauti sogezi katika Kiswahili

alasauti sogezi

  • 1

    alasauti ambazo zina uwezo wa kujongea wakati wa utamkaji wa sauti za lugha k.v. ulimi na midomo.