Ufafanuzi wa alfabeti katika Kiswahili

alfabeti

nominoPlural alfabeti

  • 1

    herufi za lugha zilizopangwa kwa utaratibu maalumu k.v. a, b, ch, d, e, n.k. ambazo hutumiwa katika maandishi.

    abjadi, abtathi

Asili

Kng

Matamshi

alfabeti

/alfabɛti/