Ufafanuzi msingi wa ali katika Kiswahili

: ali1ali2ali3

ali1

nominoPlural ali

 • 1

  wana au wajukuu wa mtu.

 • 2

  watoto, wazawa.

  dhuria

Asili

Kar

Matamshi

ali

/ali/

Ufafanuzi msingi wa ali katika Kiswahili

: ali1ali2ali3

ali2

kivumishi

 • 1

  ‘Harusi ni siku ali’

Asili

Kar

Matamshi

ali

/ali/

Ufafanuzi msingi wa ali katika Kiswahili

: ali1ali2ali3

ali3

kivumishi

kishairi
 • 1

  kishairi -a haiba.

Asili

Kar

Matamshi

ali

/ali/