Ufafanuzi wa alumni katika Kiswahili

alumni

nomino

  • 1

    mtu aliyewahi kusoma katika chuo au shule fulani.

Asili

Kla

Matamshi

alumni

/alumni/