Ufafanuzi wa amaa katika Kiswahili

amaa

kitenzi sielekezi

  • 1

    kauka kwa nguo iliyotota au kufuliwa.

    ‘Kanzu niliyoifua imekwishaamaa’

Matamshi

amaa

/ama:/