Ufafanuzi msingi wa ambilika katika Kiswahili

: ambilika1ambilika2

ambilika1

kitenzi sielekezi

  • 1

    weza kusikiliza au kukubali maoni ya wengine.

Matamshi

ambilika

/ambilika/

Ufafanuzi msingi wa ambilika katika Kiswahili

: ambilika1ambilika2

ambilika2

kivumishi

  • 1

    -a kuweza kuambiwa na kupokea ushauri.

    semezeka

Matamshi

ambilika

/ambilika/