Ufafanuzi wa amiba katika Kiswahili

amiba

nominoPlural amiba

  • 1

    jamii ya vijidudu vidogo sana visivyoonekana kwa macho ambavyo huishi katika maji na udongo.

Asili

Kng

Matamshi

amiba

/amiba/