Ufafanuzi msingi wa amini katika Kiswahili

: amini1amini2

amini1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  kubali kwamba jambo ni la kweli.

  sadiki

 • 2

  kubali kuwa mtu ni mwaminifu.

Asili

Kar

Matamshi

amini

/amini/

Ufafanuzi msingi wa amini katika Kiswahili

: amini1amini2

amini2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

Kidini
 • 1

  Kidini
  sadiki na fuata mafunzo ya dini.

  ‘Amini Mwenyezi Mungu’

Asili

Kar

Matamshi

amini

/amini/