Ufafanuzi wa aminisha katika Kiswahili

aminisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~wa

 • 1

  weka chini ya mamlaka ya mtu.

 • 2

  kuwa na moyo wa kutenda jambo la hatari.

  thubutu

 • 3

  fanya mtu aamini.

Asili

Kar

Matamshi

aminisha

/amini∫a/