Ufafanuzi wa ampea katika Kiswahili

ampea, ampia

nominoPlural ampea

  • 1

    kipimo cha mkondo wa umeme.

Asili

Kng

Matamshi

ampea

/ampɛja/