Ufafanuzi wa analojia katika Kiswahili

analojia

nominoPlural analojia

  • 1

    ufananishaji wa tabia au sura ya kitu na kitu kingine.

Asili

Kng

Matamshi

analojia

/analɔʄija/