kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa, ~ana
- 1
toa nuru au weupe.
ng’aa, mulika
kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa, ~ana
- 1
tuliza macho mahali pamoja.
tazama, angalia
kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa, ~ana
- 1
kosa usingizi usiku kucha; kaa macho; kosa kulala.
kesha

funua akili.