Ufafanuzi wa apizo katika Kiswahili

apizo

nominoPlural mapizo

  • 1

    dua ya kuombea mtu laana.

    duizo, shonga, chira, hizaya

Matamshi

apizo

/apizɔ/