Ufafanuzi msingi wa arshi katika Kiswahili

: arshi1arshi2

arshi1

nominoPlural arshi

 • 1

  malipo yatolewayo kwa kumtoa mtu damu.

  dia, fidia

Asili

Kar

Matamshi

arshi

/ar∫i/

Ufafanuzi msingi wa arshi katika Kiswahili

: arshi1arshi2

arshi2

nominoPlural arshi

 • 1

  kiti cha enzi cha Mwenyezi Mungu.

 • 2

  kiti cha enzi cha mfalme au mtawala.

Asili

Kar

Matamshi

arshi

/ar∫i/