Ufafanuzi wa arubastini katika Kiswahili

arubastini

nominoPlural arubastini

  • 1

    sitini na nne; 64.

  • 2

    mchezo wa karata 36 unaochezwa na watu wawili, wanne au sita ambapo ulaji wa karata hutegemea karata inayotawala mchezo na mshindi hupata alama zaidi ya 60.

    wahedisitini

Asili

Kar

Matamshi

arubastini

/arubastini/