Ufafanuzi msingi wa asa katika Kiswahili

: asa1asa2

asa1 , wasa

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~isha, ~wa

  • 1

    ambia mtu asifanye jambo fulani.

    onya, kanya, kataza, haza

  • 2

Asili

Kar

Matamshi

asa

/asa/

Ufafanuzi msingi wa asa katika Kiswahili

: asa1asa2

asa2

nominoPlural asa

Asili

Kar

Matamshi

asa

/asa/