Ufafanuzi wa asidi katika Kiswahili

asidi

nominoPlural asidi

  • 1

    kemikali yenye sifa ya kuunguza.

    tindikali

Asili

Kng

Matamshi

asidi

/asidi/