Ufafanuzi wa asumini katika Kiswahili

asumini, asmini

nomino

  • 1

    ua la mwasumini lichanualo jioni, lenye harufu nzuri ambalo hutumika kutengenezea manukato na kwenye shada la kufunga nywele za wanawake, n.k..

Asili

Kar

Matamshi

asumini

/asumini/