Ufafanuzi wa Atlantiki katika Kiswahili

Atlantiki

nominoPlural Atlantiki

  • 1

    bahari kubwa ya pili duniani iliyopo baina ya pwani za Ulaya na Afrika upande wa Mashariki na Amerika Kaskazini na Amerika Kusini upande wa Magharibi.

Asili

Kng

Matamshi

Atlantiki

/atlantiki/