Ufafanuzi wa babua katika Kiswahili

babua

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~liwa, ~sha

  • 1

    ondoa ngozi kwa joto, moto, maji ya moto au ugonjwa.

    chunua, ambua

  • 2

    choma na unguza juujuu bila ya kuiva sawasawa.

Matamshi

babua

/babuwa/