Ufafanuzi wa bacha katika Kiswahili

bacha

nominoPlural mabacha

  • 1

    mahali pa ndani; tundu lililo kwenye ukuta.

    shubaka, daka

Matamshi

bacha

/bat∫a/