Ufafanuzi wa badhirifu katika Kiswahili

badhirifu

kivumishi

  • 1

    -enye kufuja mali.

    haribifu

Asili

Kar

Matamshi

badhirifu

/baðirifu/