Ufafanuzi wa bahasha katika Kiswahili

bahasha

nominoPlural bahasha

  • 1

    karatasi iliyokunjwa ambayo hutiwa barua.

  • 2

    mzigo mdogo.

    furushi

Asili

Ktu

Matamshi

bahasha

/baha∫a/