Ufafanuzi wa bahashishi katika Kiswahili

bahashishi

nominoPlural bahashishi

  • 1

    zawadi anayopewa mtu kwa utumishi bora wa kazi; nyongeza baada ya ujira.

    kiinuamgongo

Asili

Kaj

Matamshi

bahashishi

/baha∫i∫i/