Ufafanuzi wa bajia katika Kiswahili

bajia

nomino

  • 1

    aina ya andazi dogo ambalo hutengenezwa kwa dengu au kunde zilizosagwa pamoja na pilipili na kukaangwa kwa mafuta.

Asili

Khi

Matamshi

bajia

/baŹ„ija/