Ufafanuzi wa balaghamu katika Kiswahili

balaghamu

nominoPlural balaghamu

  • 1

    mate kama makohozi yasiyokwisha na yanayokuwako kwenye koo la mtu.

    ‘Ugonjwa wa balaghamu’
    kohozi

Asili

Kar

Matamshi

balaghamu

/balaɚamu/