Ufafanuzi wa bambanya katika Kiswahili

bambanya

kitenzi elekezi

  • 1

    tengeneza kitu au jambo lililokwisha kuharibika.

    shaliki

  • 2

    fanya jambo usilolijua barabara.

    babia, babaisha

Matamshi

bambanya

/bambaɲa/