Ufafanuzi wa bandi katika Kiswahili

bandi

nominoPlural mabandi

  • 1

    mshono wa mkono ambao ni wa kushikizia tu.

    ‘Piga bandi’
    shikizo

Asili

Khi

Matamshi

bandi

/bandi/