Ufafanuzi wa banika katika Kiswahili

banika

kitenzi elekezi

  • 1

    weka samaki au nyama iliyo katika mibano karibu na moto ili kuichoma.

Matamshi

banika

/banika/