Ufafanuzi wa banza katika Kiswahili

banza

kitenzi elekezi

  • 1

    weka kitu mahali ambapo hakiwezi kuonekana kwa urahisi.

    ficha

Matamshi

banza

/banza/