Ufafanuzi wa bapa katika Kiswahili

bapa, ubapa

nominoPlural mabapa

  • 1

    uso wa kitu kilicho sawasawa; uso wa kitu kilichobabatana.

    ‘Bapa la kisu’
    ‘Bapa la panga’
    ‘Bapa la uso’

Matamshi

bapa

/bapa/