Ufafanuzi wa baraghashia katika Kiswahili

baraghashia

nominoPlural baraghashia

  • 1

    kofia ya mviringo iliyofumiwa mapambo ya maua.

Asili

Kar

Matamshi

baraghashia

/baraɚa∫ija/