Ufafanuzi wa barawaji katika Kiswahili

barawaji

nomino

  • 1

    kitambaa kama hariri kinachovaliwa kiunoni.

  • 2

    nguo angavu inayofungwa kiunoni.

Asili

Kar

Matamshi

barawaji

/barawaŹ„i/