Ufafanuzi wa barizi katika Kiswahili

barizi

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kukusanyika kwa watu kwa ajili ya mazungumzo ya kawaida.

  • 2

    punga upepo.

Matamshi

barizi

/barizi/