Ufafanuzi wa bebe katika Kiswahili

bebe

nomino

  • 1

    fupa lenye uwazi k.v. mifupa ya mabegani na kifuani.

Matamshi

bebe

/bɛbɛ/