Ufafanuzi wa bedeni katika Kiswahili

bedeni

nominoPlural mabedeni

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    jahazi lenye uwezo wa kubeba tani kati ya 20 – 50.

Asili

Kaj

Matamshi

bedeni

/bɛdɛni/