Ufafanuzi wa behedani katika Kiswahili

behedani

nominoPlural behedani

  • 1

    kitu kama gundi kinachotumiwa kusukia nywele za wanawake.

Asili

Kaj

Matamshi

behedani

/bɛhɛdani/