Ufafanuzi wa beleshi katika Kiswahili

beleshi

nominoPlural mabeleshi

  • 1

    chombo kinachotumika kuchotea mchanga, udongo, n.k..

    sepetu, koleo, shepe

Matamshi

beleshi

/bɛlɛ∫i/