Ufafanuzi wa benchi katika Kiswahili

benchi

nominoPlural mabenchi

  • 1

    bao la kukalia.

    ubao, fomu

  • 2

    meza inayotumiwa na mafundi kufanyia kazi.

Asili

Kng

Matamshi

benchi

/bɛnt∫i/