Ufafanuzi wa beneti katika Kiswahili

beneti

nominoPlural beneti

  • 1

    kisu kirefu kinachochomekwa pembeni mwa mdomo wa bunduki.

Asili

Kng

Matamshi

beneti

/bɛnɛti/