Ufafanuzi wa benzini katika Kiswahili

benzini

nominoPlural benzini

  • 1

    aina nyepesi ya petroli.

Asili

Kng

Matamshi

benzini

/bɛnzini/