Ufafanuzi wa beregeza katika Kiswahili

beregeza

kitenzi sielekezi

  • 1

    epuka kujibu swali kwa kutiatia maneno mengine ili kupoteza lengo.

    pambaniza, gangaiza

Matamshi

beregeza

/bɛrɛgɛza/