Ufafanuzi wa biarusi katika Kiswahili

biarusi, biharusi

nomino

  • 1

    kifupi cha bibi arusi; jina analoitwa mwanamke anayekaribia kufunga ndoa au siku anapofunga ndoa.

Asili

Kar

Matamshi

biarusi

/biarusi/